Powered by Blogger.

Archive

Hutaki kuamini Liverpool ya msimu huu imebadilika?

Kama ulikuwa ukikichukulia poa kikosi cha Liverpool chini ya mbobezi Jurgen Klopp basi unajidanganya aisee..moto uliopo msimu huu hauna mfan...

Kama ulikuwa ukikichukulia poa kikosi cha Liverpool chini ya mbobezi Jurgen Klopp basi unajidanganya aisee..moto uliopo msimu huu hauna mfano.


Ngoja nikujuze kuhusu hili: Liverpool ndiyo timu iliyofungwa michezo michache mpaka sasa kwenye mashindano yote miongoni mwa klabu sita za juu katika msimamo wa EPL.

Liverpool imefungwa michezo 6, Manchester City 7, Tottenham Spurs 7, Manchester United 9, Chelsea 12 wakati Arsenal ikichapwa michezo 13 hadi sasa.

Kubwa kuliko zote Liverpool imefanikiwa kukusanya 'cleansheet' nane hadi sasa katika michezo 12 iliyopita, hii tunaita Van Djik effects.

Chukua hii tena; Lile tatizo la kufungwa na timu ndogo ni kama limekwisha, Liverpool ya msimu imefungwa na Swansea tu bao 1-0 ndani ya Ligi.

In Klopp we trust.

COMMENTS

BLOGGER: 1

Name

EPL,6,habari,16,JE WAJUA,9,news,4,usajili,9,
ltr
item
Liverpool News 24: Hutaki kuamini Liverpool ya msimu huu imebadilika?
Hutaki kuamini Liverpool ya msimu huu imebadilika?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7jr4A-5nDCXoyC0M3dqIByauFVxHIn51QqS2opVlG3JzZBp-hDng5DBE1eO0P12Dv_5dnCC07gTm3dbgJz4__aBNqhs0tE4Cz9utAogrjL4ibiX_69mLWRHaz0nFfXmSoVcQ4Mt1i07aA/s640/Southampton-v-Liverpool.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7jr4A-5nDCXoyC0M3dqIByauFVxHIn51QqS2opVlG3JzZBp-hDng5DBE1eO0P12Dv_5dnCC07gTm3dbgJz4__aBNqhs0tE4Cz9utAogrjL4ibiX_69mLWRHaz0nFfXmSoVcQ4Mt1i07aA/s72-c/Southampton-v-Liverpool.jpg
Liverpool News 24
https://lfcnews24.blogspot.com/2018/04/hutaki-kuamini-liverpool-ya-msimu-huu.html
https://lfcnews24.blogspot.com/
https://lfcnews24.blogspot.com/
https://lfcnews24.blogspot.com/2018/04/hutaki-kuamini-liverpool-ya-msimu-huu.html
true
4020467249577886149
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content