Mtu pesa, Yees licha ya kuwa mchezaji ghali zaidi ndani ya kikosi cha Jurgen Kaiser Klopp, Gun Dutch Supastaa, Virgil Van Djik bado ameendel...
Mtu pesa, Yees licha ya kuwa mchezaji ghali zaidi ndani ya kikosi cha Jurgen Kaiser Klopp, Gun Dutch Supastaa, Virgil Van Djik bado ameendelea kuwakimbiza mastaa wenzake kwa kuvuna mpunga mrefu.
Djik aliesajiliwa dirisha dogo la usajili kwa ada ya pauni 75 Milioni na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali zaidi ndani ya historia ya Liverpool na beki ghali duniani bado anavuna kiasi cha pauni 180,000 kwa wiki kunako maskani ya Merseyside.
Chini ni orodha ya mastaa kumi ambao wanakunja mkwanja mrefu kila wiki kutokana na huduma yao wanayoitoa pale Anfield

- Virgil Van Djik - Pauni 180,000 - kwa wiki
- Daniel Sturridge - Pauni 120,000 - kwa wiki (mkopo)
- James Milner - Pauni 120,000 - kwa wiki
- Mohamed Salah - Pauni 120,000 - kwa wiki
- Roberto Firmino - Pauni 100,000 - kwa wiki
- Jordan Henderson - Pauni 100,000 - kwa wiki
- Girginio Wijnadlum - Pauni 90,000 - kwa wiki
- Oxlade -Chamberlain - Pauni 90,000 - kwa wiki
- Sadio Mane - Pauni 90,000 - kwa wiki
- Dejan Lovren - Pauni 90,000 - kwa wiki

COMMENTS