Powered by Blogger.

Archive

Kinda wa Liverpool ang'ang'aniwa na Hull City

Moto unaowashwa na chipukizi wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Hull City inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama champi...

Moto unaowashwa na chipukizi wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Hull City inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama championship, Harry Wilson umepelekea timu hiyo kuhitaji zaidi huduma yake.


Kocha wa Hull, Nigel Adkins ameripotiwa akisema kuwa anatamani kuendelea kuwa na nyota huyo ambaye alijiunga na kikosi chake katika  dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwaka huu.

" Ni mchezaji mzuri ambaye maendeleo yake yamekuwa makubwa kwa kipindi cha muda mfupi tuliokaa nae hapa, bado ana mengi ya kujifunza na kukua zaidi licha ya kuwa bado ni mchezaji kinda lakini amekuwa msaada kwetu katika kila mchezo tunaocheza, bado natamani kuendelea kuwa nae," amefichua Kocha Adkins.

Wilson amekuwa na takwimu zenye kuvutia ndani ya kikosi cha Hull ambapo amecheza michezo 11 mpaka sasa na kutupia nyavuni magoli matano huku akisaidia upatikanaji wa mengine manne.

COMMENTS

Name

EPL,6,habari,16,JE WAJUA,9,news,4,usajili,9,
ltr
item
Liverpool News 24: Kinda wa Liverpool ang'ang'aniwa na Hull City
Kinda wa Liverpool ang'ang'aniwa na Hull City
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggD9Vkz4pwDiWPH0qvi7gSz06MaWiqto3LxqiUvDKWhku7Q9H9hv9HF08U5DvUDYfi3WjzZtPGCyYTEjMcIbR3rfZMz1AZwizV2D5XoUD6LFif80zczTAZWRWTar7vGoURiQy6WVqxGPT4/s640/Harry-Wilson-Hull-912745.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggD9Vkz4pwDiWPH0qvi7gSz06MaWiqto3LxqiUvDKWhku7Q9H9hv9HF08U5DvUDYfi3WjzZtPGCyYTEjMcIbR3rfZMz1AZwizV2D5XoUD6LFif80zczTAZWRWTar7vGoURiQy6WVqxGPT4/s72-c/Harry-Wilson-Hull-912745.jpg
Liverpool News 24
https://lfcnews24.blogspot.com/2018/04/kinda-wa-liverpool-ang-na-hull-city.html
https://lfcnews24.blogspot.com/
https://lfcnews24.blogspot.com/
https://lfcnews24.blogspot.com/2018/04/kinda-wa-liverpool-ang-na-hull-city.html
true
4020467249577886149
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content